Simba SC yapanda vilabu bora Afrika

Simba SC yapanda vilabu bora Afrika

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Sasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu Bingwa Afrika.

Big Up mabingwa wa Tanzania.
FB_IMG_16197055052813926.jpg
 
Sasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu Bingwa Afrika.

Big Up mabingwa wa Tanzania.View attachment 1767749
Simba baba lao, wapi uto FC?
 
Asante kwa taarifa kuwa kesho ndio draw inachezeshwa..
 
Hongera Simba.

Shughuli iliyobaki ni Kutwaa ubingwa wa Afrika na kuongeza points za kuelekea kushika nafasi kwanza alipo Al Ahly.
 
Sasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu Bingwa Afrika.

Big Up mabingwa wa Tanzania.View attachment 1767749
Ungeendelea hadi tuone wanaojiita wa kimataifa wanaahika nafasi ya ngapi
 
CAF hata mimi siwaelewi. Simba ilitakiwa iwe ndani ya timu nane za juu.
Mkuu Ranking zinapangwa Kwa kuangalia unavuna points ngapi kila mwaka na level unayofikia, kila level ina points zake sasa kumbuka Simba hajashiriki club bingwa Kwa miaka karibu 4 kile kipindi yanga na Azam ndio mabingwa, kwahiyo tulikuwa tunakosa points

Na tulipokuja kurudi tukawa tunatolewa hatua za awali na msimu ambao tulifanya vizuri ni mwaka juzi Ila mwaka Jana tukatoka mapema na ud Songo, kwahiyo hao jamaa wao Wana muondelezo mzuri wa kuwa wanashiriki mara kwa mara na kuvuna points, maana kushiriki Tu haina issue Sana issue ni unafika hatua gani, mfano yanga alienda miaka 3 mfululizo Ila anatoka hatua ya awali akavuna points 3.5 Tu Ila Simba mwaka juzi akavuna points 8 Kwa kufika quarter final
 
Sasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu Bingwa Afrika.

Big Up mabingwa wa Tanzania.View attachment 1767749
Ni haki yao,mpira wao uko juu sana
 
Back
Top Bottom