Utopolo wanazidiwa hadi na GormahiaSasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu Bingwa Afrika.
Big Up mabingwa wa Tanzania.View attachment 1767749
Itakuwa ya 31 maana 30 ndo cutoff ya mleta uziYanga ya ngapi
Simba baba lao, wapi uto FC?Sasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu Bingwa Afrika.
Big Up mabingwa wa Tanzania.View attachment 1767749
Sio peke yake,wachezaji,mashabiki na benchi la ufundi,wewe Uto vipi?Pongezi kwake.
MO Dewji.
Ungeendelea hadi tuone wanaojiita wa kimataifa wanaahika nafasi ya ngapiSasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu Bingwa Afrika.
Big Up mabingwa wa Tanzania.View attachment 1767749
Mkuu Ranking zinapangwa Kwa kuangalia unavuna points ngapi kila mwaka na level unayofikia, kila level ina points zake sasa kumbuka Simba hajashiriki club bingwa Kwa miaka karibu 4 kile kipindi yanga na Azam ndio mabingwa, kwahiyo tulikuwa tunakosa pointsCAF hata mimi siwaelewi. Simba ilitakiwa iwe ndani ya timu nane za juu.
Ni haki yao,mpira wao uko juu sanaSasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu Bingwa Afrika.
Big Up mabingwa wa Tanzania.View attachment 1767749