fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Yanga tuko mbali sanaYanga ya ngapi
Utopolo hakubali! Hawa caf ni simba kabisa, haiwezekani!Yanga ya ngapi
Yanga ya 79Yanga ya ngapi
Wath.enge wametuacha hawa lkn dawa yao ipo jikoni....mpanda ngazi hushuka
Wapuuzi kweliHata Gorimahia wako juu yetu? [emoji2] [emoji2] Hawa CUF wana lao jambo na sie
Sio suala la usiku mmoja, hizo points za Al Ahly wanaweza wakashuka daraja huko kwao wasicheze champions league miaka 10 na bado tusizifikie points zao kwa muda wote huo wa miaka kumi, maana yake hao walio mbele yetu walishazikusanya points kitamboEnyimba na Al Hilal wanatuzidije?
Kwa akili za mpanda ngazi hushuka HAMTOBOI, akishuka bila wewe kupanda atakukuta hukohuko chini wote mtakuwa chini, acha akili za kichawi, usiwaze Simba kushuka, jipange umfuate huko huko juu ukampite hukohuko juu, juu Hakunaga mwishoWath.enge wametuacha hawa lkn dawa yao ipo jikoni....mpanda ngazi hushuka
Tutapishana kwenye ngazi sio kesi....Kwa akili za mpanda ngazi hushuka HAMTOBOI, akishuka bila wewe kupanda atakukuta hukohuko chini wote mtakuwa chini, acha akili za kichawi, usiwaze Simba kushuka, jipange umfuate huko huko juu ukampite hukohuko juu, juu Hakunaga mwisho
YANGA je? Ya ngapiSimba ya 13
Namungo ya 60
atletico club spotivo de utopolo ya 74
Kaka ndiyo yenye jina la utopolo hapo mwishoni ukisema yanga watu hawaitambuiYANGA je? Ya ngapi
Yanga ilishazikwa kuna UtopoloYANGA je? Ya ngapi
😂 😂 MALCOM LUMUMBAYanga ya ngapi
Utopolo (zamani ikiitwa yanga) imeshika namba 74YANGA je? Ya ngapi
Big up simba chama languSasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu Bingwa Afrika.
Big Up mabingwa wa Tanzania.View attachment 1767749
Labda mmuulize mwenyekiti wao Lipumba anawachukuliaje wananchiHata Gorimahia wako juu yetu? [emoji2] [emoji2] Hawa CUF wana lao jambo na sie
Accumulative points. Refer to team past performance.CAF hata mimi siwaelewi. Simba ilitakiwa iwe ndani ya timu nane za juu.