Simba SC yapewa ONYO na BMT kuhusu uvunjanji wa Katiba na Uongozi mbovu

Simba SC yapewa ONYO na BMT kuhusu uvunjanji wa Katiba na Uongozi mbovu

MwananchiOG

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
1,970
Reaction score
4,037
GYztyQaXgAEaDKQ.jpeg
 
Yaleyale ya Magoma, mkija kustuka mtakuta kumbe tayari kuna hukumu ya Mahakama iliyo mkabidhi timu Haji Manara.
 
Mambo ya Simba yanahatarishaje amani ya nchi??
 
Mleta barua ungetuletea na hayo Mambo 12.
Kinachoifelisha Simba ni katiba yake na uongozi mbovu.
Badala ya timu kwenda mbele inarudi nyuma.
 
VYURA FC BADO MNAPUMUA...TAFUTENI VINGINE HII HAITUSHTUI...
UBAYA UBWELA..
 
Back
Top Bottom