MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Umesahau GB64,Agi Simba na dr.mo walivyo wahamasisha makolo wenzao kuandamana dhidi ya uongozi wa Simba?Mambo ya Simba yanahatarishaje amani ya nchi??
Kuandamana sio kuhatarisha amani ya nchi.Umesahau GB64,Agi Simba na dr.mo walivyo wahamasisha makolo wenzao kuandamana dhidi ya uongozi wa Simba?
Hapo onyo likowapiKuandamana sio kuhatarisha amani ya nchi.