Ata wafanye buku, ni ngumu watu kujitokeza kwa wingi wakati timuyao wanaiona Siya uhakika. Ingekuwa Marefa ni wanyumbani kidogo wangepata hamasa. Mimi nawaomba mashabiki mjitokeze ata Kama timu hairidhishi tutatumia mbinu yetu ya kupuliza dawa vyumbani.