Kutoka utunwani Misri,
Baada ya wiki tukio la klabu bingwa Tanzania Simba SC kufungwa na SC Vita ya Congo DR magoli 5-0 deni la Taifa lilipanda na kufikia Trilioni 61.8. Jana Simba hao hao huko Misri wamerudia makosa yaleyale na hatujui hasara waliyosababisha huko Misri itapandisha deni la Taifa kwa kiwango gani?