sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Imeripotiwa kua 28/10/2018 vijitetemeko vidogo vilirekodiwa katika sehemu mbali mbali nchini, na hii ilikua ni kuanzia saa 1 kamili usiku hadi 3 kasoro.
Vitetemeko hivyo vilitokana na shangwe za mashabiki mbali mbali wa soka waliokua wakishangilia magoli na udambwi udambwi wa wachezaji wa Simba SC waliokua wakipambana na Ruvu Shooting.
Vijitetemeko hivyo vilikua traced na vifaa maalumu vya kupima tetemeko la ardhi.
Mara ya kwanza na mwisho kutokea hali hii ilikua ni katika kipindi cha kombe la dunia Mashabiki wa Mexico walisababisdha tetemeko la ardhi? na sasa Simba SC wanaisababisha kwa mara nyingine.
Ombi Langu:
Hawa Simba SC wadhibitiwe mapema lasivyo wanaweza sababisha maafa makubwa sana.