Simba SC yasababisha Tetemeko la Ardhi

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Imeripotiwa kua 28/10/2018 vijitetemeko vidogo vilirekodiwa katika sehemu mbali mbali nchini, na hii ilikua ni kuanzia saa 1 kamili usiku hadi 3 kasoro.

Vitetemeko hivyo vilitokana na shangwe za mashabiki mbali mbali wa soka waliokua wakishangilia magoli na udambwi udambwi wa wachezaji wa Simba SC waliokua wakipambana na Ruvu Shooting.

Vijitetemeko hivyo vilikua traced na vifaa maalumu vya kupima tetemeko la ardhi.
Mara ya kwanza na mwisho kutokea hali hii ilikua ni katika kipindi cha kombe la dunia Mashabiki wa Mexico walisababisdha tetemeko la ardhi? na sasa Simba SC wanaisababisha kwa mara nyingine.

Ombi Langu:
Hawa Simba SC wadhibitiwe mapema lasivyo wanaweza sababisha maafa makubwa sana.
 
Pia imeripotiwa Simba SC kwa sasa inaongoza kwa kusababisha mishituko ya moyo.
Jamani taasisi husika hamulioni hili?? Toeni elimu maalumu kwa raia ili waweze kupambana na mishituko inayosababishwa na soka maridhawa la Simba SC.
 
mkuu uku vibanda umiza walipata hasara kutokana na huaribifu wa bidhaa na mali zao
Hahaha.. Mkuu hii hali nimeishuhudia. Kuna jamaa yangu, ana kibanda umiza. Katika mechi 2 za Simba dhidi ya Alliance na Ruvu, banda lake analooneshea mpira lilikua nyang'anyang'a kila baada ya mechi.

Sasa ameapa hataonesha kamwe mechi za Simba.. Yeye atadili na mechi kama hizi za Yanga ambapo baada ya mechi banda lake hubaki salama kabisa, kama vile hakijatokea kitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ata uku jamaa kagoma kabisa licha ya kwamba tunalipa 2500 kila kipindi...yani kuifaidi game yote ulipe 5000
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ata uku jamaa kagoma kabisa licha ya kwamba tunalipa 2500 kila kipindi...yani kuifaidi game yote ulipe 5000
Hahaha.. Kuna jamaa alitoa wazo waanze kujenga vibanda umiza vya mawe, ili kuepusha hilo. Lakini, kuna jamaa akapinga kwa sababu kua, tetemeko la ardhi likitokea mawe si yatatuponda, na TUNAKUFA.

Mkuu, kwa kifupi hapa, nadhani kuna haja ya mjadara wa kitaifa kuitishwa juu ya hili suala.
 
upo sahii mkuu uku wazazi wanafafungia watoto ndani wakisikia simba..maana kwa mpira wanaocheza unaweza kuwapotea mpaka watoto achiliambali Bwile matelepnone
 
upo sahii mkuu uku wazazi wanafafungia watoto ndani wakisikia simba..maana kwa mpira wanaocheza unaweza kuwapotea mpaka watoto achiliambali Bwile matelepnone
Hahahahahaha.. Eti Bwire Matelephone.
 
upo sahii mkuu uku wazazi wanafafungia watoto ndani wakisikia simba..maana kwa mpira wanaocheza unaweza kuwapotea mpaka watoto achiliambali Bwile matelepnone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii habari nimeiskia BBC asubuhi kumbe tumesikia wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…