[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwez hamini mkuu mpaka dw_swahili wametangaza hili jamboHii habari nimeiskia BBC asubuhi kumbe tumesikia wengi
Vyombo vya habari watangazaji ni team vyura mkuuMkuu.. Nachoshangaa kwann vyombo vya habari vya bongo, vyote kimya?? Ila si mbaya, tutaendelea kuyaripoti, wasiyoyaripoti.
Hahahahaha Ntakuunga mkono Hakika!!mkuu achilia mbali kufungiwa account mi ntajipeleka central police
Ongeza na ahadi/kiapo kingine MkuuSiku yanga wakishinda 5 ntaomba nifutiwe acc yangu ya JF Invisible
Kimoja kinatosha sababu hamna uwezo wa kushinda 5, nasubiri muanze kwenda mkoani nione sherehe ya vikolanyaOngeza na ahadi/kiapo kingine Mkuu