Una umwa ww wawa ni mkongo au mu ivory cost..?Wawa ni wa Congo siyo west Africa!
π hot hapo kwenye list yako nimepata watano tu.Bado unashikilia msimamo wako ?
Jana karia alijichanganya utegemee kutengua kauli yake ya wachezaji 12 hadi 13 kwani mikia tayari washasajili wachezaji 13 πUto kama uto washaanza lawama View attachment 1892166
Nani na nani ?[emoji3] hot hapo kwenye list yako nimepata watano tu.
HUYU JAMAA NI MCHEZAJI SAWA ILA WA KAWAIDA SANA NAEZASEMA AEZI ATA KUMKARIBIA KIPAJI AMBUNDO, WALA SIO LEVEL WALA YA CHIKWENDE WALA HAMFIKII YULE MKENYA KIJIKO MLIEMUACHA.
π€£π€£π€£ umenichekesha sanaMtu akitumia herufi kubwa mwanzo mwisho ni kama anapiga makelele
Teh teh tehSakho apewe uspika