Ukiona kumepoa humu na Simba ameshinda,Mbona humu kumepoa sana leo? Tunashinda Ushindi wa kishindo "Simba guvu moya"
Wandugu.....Hiki Kipigo Kinarejeresha Kumbukumbu Kwamba Simba Sports Club Iliwahi Kumlambisha Mtu 6 - 0...!
Simba anashiba akinyonya?...ππDar Fresh kiwanda cha maziwa chaamua kumnyonyesha simba goli sita
Hata hawa 4-1 ni level ya Dar Citykumbe huko ndio level yenu