Simba SC yatoa salamu za pole kwa wafiwa kutokana na mtu 1 kufariki kwa Mkapa, huu ni uungwana mkubwa

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Ila hii pole mbona kama vile,yanga wanalalamika kuwa wamepigwa ndege wawili kwa jiwe moja.


POLENI SANA UTO,
KILA SHABIKI WA SIMBA SC APITE HAPA AANDIKE NENO POLE,KISHA ATOKE NDUKI[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nina uhakika,wakati simba wanaandika hilo bandiko walikua wanacheka..
 
Nina uhakika,wakati simba wanaandika hilo bandiko walikua wanacheka..
Simba anayecheka Mtu Kufa labda ni wewe na akili yako mbovu. Mwenye akili timamu hawezi kushangilia kifo cha Mtu asiyemfahamu kisa tu wanashabikia timu tofauti. Tunaona mara Kwa mara Manchester wanahizunika pamoja na Liverpool kwenye kumbukumbu ya vifo vya mashabiki wa Liverpool baada ya kuangukiwa na jukwaa, lakini wewe na umbumbumbu wako unaona kifo cha Mtu ni Jambo la kuleta ushabiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…