Simba Sc yatoa taarifa kuhusu Jonas Mkude

Wamatopeni hawaishiwishi vituko yaani leo mnaenda kumpima Mkude kama ni akili timamu?

Kweli kabisa?
 
Hivi huu ushamba wa maandishi mekundu na meusi mnaupata wapi, vitu vingine waachieni Utopolo!
 
Wanaenda kumpima akili wajue kama jamaa ni chizi au vipi kwasababu makosa yake yanajirudia sana.
 
Huwenda akawa na matatizo ya kisaikolojia anahitaji msaada. Kamati ipo sahihi.. hatujui alisaini nini iwapo atarudia makosa
 
Wamkimbize mirembe tena watumie mwanya huohuo kupunguza gharama apelekwe na bernad "bm 33" nae akachunguzwe
 
Kiukweli wamemuaibisha sana haya ya kumpeleka hospitality yangeenda kimya kimya tu.
 
Kwamba labda ana matatizo ya akili?
 
WaTZ Bana mtu kupelekwa kwnye uchunguzi wa kiafya ni udhalilishaji kumbe
Mbona wayne na beckam walishafanyiwaga hivi kipindi flan pia umekuwa ni utartb wa simba nakumbuka miaka hiyo
 
Simba wapo sahihi.. ili utwae caf champions league lazima ubadilike.. uendeshe timu kisasa...

Enyimba waliachana na uswahili wakati wanabadilika..

Mamelodi hawana tabia za waswahili

Mazembe pia hawana tabia za waswahili

Huwezi kutaka uwe kigogo africa kwa kuendesha timu kienyeji .

Simba babra yupo very proffessional.. msimu huu wamekosea kidogo tu wavunje rekodi yao ya mafanikio.

Na hiyo kidogo ni kumdharau kaizer chiefs toka ratiba ya robo ilivyotoka.. wakaenda south kama picnic wakijua wameshapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…