OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaweza kuwa mbinu ya kukataa huduma zao. yaani ametutafutia sababuAchaneni na huo upumbavu jipangeni tunaenda kutokaje kule na nyie mjipange Sana kwamba msikubali kuhudumiwa na hiyo timu
wewe ni mzima kweli?!Simba inahusikaje na maamuzi ya refaCEO pia alitakiwa kuzijibu tuhuma zote alizozitoa huyo kocha ikiwemo;
- Kupewa eskot ya Polisi mmoja
- Simba kupewa Penat ya isiyo halali
- Refa kutoenda kuchungulia kwenye VAR
Ndio ingejibu hivyo kama ulivyojibu wewe, maana ni sehemu ya tuhuma kwa Simba kuhonga Marefa.wewe ni mzima kweli?!Simba inahusikaje na maamuzi ya refa
Simba hahusiki na hayo yoteCEO pia alitakiwa kuzijibu tuhuma zote alizozitoa huyo kocha ikiwemo;
- Kupewa eskot ya Polisi mmoja
- Simba kupewa Penat ya isiyo halali
- Refa kutoenda kuchungulia kwenye VAR
English version mbona haipo humu. Nimeona Twitter wasauz wanaponda Ile mbaya. Wanaponda kuhusisha mambo ya Anc na apartheid na mechi ya Orlando.Bora wasituzoeee
Simba yule kocha anatafuta kutotoa mchezoni...achaneni naye kipusa yule ...
Tuangalie mpambano wetu tunatoka vipi