Simba SC yavaa jezi za Yanga SC (jezi nyeusi)

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Katika hali ya kushangaza Klabu cha Simba tangu Dunia ianze leo wamevaa jezi nyeusi katika mechi yao dhidi ya Stand Utd

Imezoeleka miaka nenda rudi timu ya Yanga SC ndio huvaa rangi nyeusi, hivyo basi Simba SC wamewaiga wakubwa wao Dar Young African kutumia rangi hiyo..


Mnamo mwaka 2019 wakati Simba ikiwa Afrika Kusini, Wazee wa Simba waliionya kuhusu kuvaa jezi zinazoendana na Yanga baada ya kuonekana kwenye picha mitandaoni wakiwa wamevaa jezi zenye unjanonjano.

Nikiripoti kutoka Singida ni mimi Dr Yahoo.
 
Kila club ina third kit ambayo huwa haifanani rangi zake zilizozoeleka.
 
Uzi huu bila picha ni batili
 
Hiyo rangi ni nyeusi? au macho yako yana tatizo la kuona kila kitu ni black au white kama camera za miaka ya 1970s?
 
Hata zingekuwa nyeusi bado yanga jezi zake sio nyeusi ni njano na kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…