Kwa Mara ya kwanza zimetoka kit zote tatu Kali kiukweli wanatakiwa kupongezwaUzi mkali balaaa[emoji91][emoji91] ila wamezngua hako kashep tu ka chin wangeweka kawaida tu chin zngekuwa unyama zaid
Hakuna majengo hapo wa hamza na traffic hapo jezi ya kiwangoKama hizi jezi ni kali basi tuna safari ndefu sana.
Wewe umewahi kubini nini?Simba na Yanga hawqjawahi kuwa na wabunifu wazuri wa jezi
Sema unasafari ndefu wew sio sisi werevuKama hizi jezi ni kali basi tuna safari ndefu sana.
Haina tofauti sana na ile ya msimu uliopita. Labla mikato ya chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna kinyonge sana???Kama hizi jezi ni kali basi tuna safari ndefu sana.
Tena Kama hyo third kit lazima upokelewe kwa heshima
35000Bei awajatoa tu
Umeongea point. Watakwambia shida joto la dar. Mikono mirefu wangeuza sana hata kama ni 40Mikono mirefu kwanini hakuna shida nini
Kuzuia kuvuja kwa jezi si jambo dogo. Awamu hii wametisha zaidiaisey imeshangaza walivyoweza kubana mianya safari hii wakawa wanaachia ma feki yana circulate mtandaoni