Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna kinyonge sana???
Jezi zina radi na mamichoro michoro kama yote. Mna safari kubwa sana katika ubunifu
Unasema Uzi mkali, mara wamezingua,Uzi mkali balaaa[emoji91][emoji91] ila wamezngua hako kashep tu ka chin wangeweka kawaida tu chin zngekuwa unyama zaid
Unadhani manara alikosea kusema wenye akili tu wawili utopoloni ndio namuita hapa aje maana alidanganya hadharani yuleHuyu popoma anakwambia kutoka vyanzo vyake vya uhakika livujishiwa jezi
Miongoni mwa wasio na akili na manara yumoUnadhani manara alikosea kusema wenye akili tu wawili utopoloni ndio namuita hapa aje maana alidanganya hadharani yule
Watu wengine wakiwa wanaongea utadhani akilii zao wamebanwa na haja yaan mtu anafanisha arsenal na Simba kweli ? ni sawa kufananisha england na Tanzania kimaisha je tunafanana?Hata wewe bado sana, kuifananisha arsenal na Simba
Hapa umeweka ushabiki mzee.....kuweke ushabiki pembeni,ule uzi ni mtamu
Kwani arsenal wanabuni jezi?Wabunifu wetu bado sana. Arsenal kwa jezi kali wako mbali sana
Kesho zitakua mikoani haswaaaah.Vunjabei atauza sana ndani ya hizi siku 7.
Kuanzia leo hadi siku ya siku ya game.
Najua kesho jezi zitakuwa mikoani tayari
Mbona sijaona nembo ya vunjabei?i like I LIKE IT I LOVE IT, HONGERA SANA VUNJA BEI, HIYO THIRD KIT AISEEEE, WOOOOH
Usijariiii.Tukutane lupaso kesho
Sawa mzeee ila jessy kuvaa ni hobby ya mtu hata kama ni mbaya au nzuri anavaaa tu, we vaaa tu za arsenal maana nazo zina wekunduWabunifu wetu bado sana. Arsenal kwa jezi kali wako mbali sana
Zile radi kwenye jezi za makolo zitawapiga watu tuKweli nyani haoni kundule.... Zile zenu zimejaza majengo hadi guest ya New Corner ya Buza....
Unaunguza seli hai nyeupe bila kujua.Jezi zina radi na mamichoro michoro kama yote. Mna safari kubwa sana katika ubunifu