Amsaidie Poulsen, kocha wa timu ya taifaWakuu,
Najua hatuna kurugenzi ya ufundi! Simba mchukueni Kaze! Ni bonge la kocha, Yanga wamemtimua kuficha udhaifu wa kiutawala na usajili mbovu!
Kaze abakie Bongo na Simba tafadhali sana!
Nawakilisha ...
Mkuu kwa hili naungana na wewe, shida sio kocha ni wachezaji hawajielewi.Nakubaliana na wewe kuwa huyu ni kocha mzuri ila hakuwa na timu. Yanga hata angepewe Zidane haiwezi
Msimsahau na NizarWakuu,
Najua hatuna kurugenzi ya ufundi! Simba mchukueni Kaze! Ni bonge la kocha, Yanga wamemtimua kuficha udhaifu wa kiutawala na usajili mbovu!
Kaze abakie Bongo na Simba tafadhali sana!
Nawakilisha ...
Mwamba hata mwezi hajamaliza anafutwa kwenye payrol, aliacha kaz African Lyon dahMsimsahau na Nizar
Mkuu leo nimekuelewa ila umekosea kidogo tu utabiri wakoHii nafasi ya kurugenzi ya ufundi wakati mwingine majukumu yake huingiliana na ya kocha mkuu, naona bora asepe tu, asijekutuletea vurugu kwetu kumepoa.
Andika vizuri sasa "Hv na ht" ndiyo nini?Hv Nizar kaonja ht mshahara kweli?
Labda tumpe u20Wakuu,
Najua hatuna kurugenzi ya ufundi! Simba mchukueni Kaze! Ni bonge la kocha, Yanga wamemtimua kuficha udhaifu wa kiutawala na usajili mbovu!
Kaze abakie Bongo na Simba tafadhali sana!
Nawakilisha ...
Hahahahahaaaa jamaa we comedianNakubaliana na wewe kuwa huyu ni kocha mzuri ila hakuwa na timu. Yanga hata angepewe Zidane haiwezi