Simba sio watu wazuri aiseeee!

Tigershark

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
7,051
Reaction score
12,566
Jamani Simba raha ila mmenitia hasara acheni tu!

Kuna manzi wangu mmoja ananijua mimi shabiki wa Simba! Sasa alipoona matokeo ni 4-0 basi chap chap akanipiga mzinga!
Nikiwa bado akili haijatulia kwa furaha nikajikuta nimetuma na ya kutolea!

Kwakweli kwa mpira wa Leo,hii mood niliyonayo ndio yakupigiwa mzinga wa mtonyo!

Natoa na moyo mwepesi kabisaaaaa!

This is Simbaaaaaaa!
 
Simba siyo saizi yenu...japo mnajitahidi kujiweka kwenye hizo level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…