Simba sitisheni kumualika zungu kama mgeni rasmi

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ni mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii

Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi

Huyu mzee ni saddists,tafadhali acheni shobo za kulialika hili lizeee kama ligeni rasmi litatuletea mikosi isiyo na sababu
 
Mkuu njaakalihatari umeandika kwa hisia kali mno, nami nakazia tu kwa kuwakumbusha kuwa huyu ndiye aliyeanza na kuoendekeza mambo ya Tozo na wapuuzi wasio na uchungu kwa wananchi wakapanga na kupitisha upuuzi na ujinga wao
 
Ni mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii

Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi

Huyu mzee ni saddists,tafadhali acheni shobo za kulialika hili lizeee kama ligeni rasmi litatuletea mikosi isiyo na sababu
Naunga mkono hoja hii,Zungu ni adui wa kuogopwa kama Ebola

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Bila kusahau yale mawazo yakuongezea makato ya kiserikali (tozo) kwenye huduma za simu na miamala ya kifedha, kwa mara ya kwanza kabisa yaliletwa bungeni na huyu KIMA.

Huyu kima sijui kawezaje tu kukaa kwenye hicho kiti, hii nchi yetu ni ya kijinga sana.
 
Ni mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii

Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi

Huyu mzee ni saddists,tafadhali acheni shobo za kulialika hili lizeee kama ligeni rasmi litatuletea mikosi isiyo na sababu
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Watu kama hawa wakiumwa waakaenda hospital tunafunga kwa maombi muujiza wa MUNGU, ampende zaidi sisi hatumuhitaji aende tu akapumzike.
 
Back
Top Bottom