njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mkuu njaakalihatari umeandika kwa hisia kali mno, nami nakazia tu kwa kuwakumbusha kuwa huyu ndiye aliyeanza na kuoendekeza mambo ya Tozo na wapuuzi wasio na uchungu kwa wananchi wakapanga na kupitisha upuuzi na ujinga waoNi mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii
Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi
Huyu mzee ni saddists,tafadhali acheni shobo za kulialika hili lizeee kama ligeni rasmi litatuletea mikosi isiyo na sababu
Hili zee linaamini kwamba kuna mungu kweli?Mungu ataamua ugomvi
Naunga mkono hoja hii,Zungu ni adui wa kuogopwa kama EbolaNi mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii
Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi
Huyu mzee ni saddists,tafadhali acheni shobo za kulialika hili lizeee kama ligeni rasmi litatuletea mikosi isiyo na sababu
Dhalim alitenda dhambi kubwa sanaHaya ndo madhara ya kumpitisha mbunge bila kupingwa hana uchungu na wananchi sababu hajapigiwa kura
[emoji38][emoji38][emoji38]Ni mojawapo ya watu wenye roho mbaya sana nchi hii
Ni aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi
Huyu mzee ni saddists,tafadhali acheni shobo za kulialika hili lizeee kama ligeni rasmi litatuletea mikosi isiyo na sababu
NakaziaNi aina ya mtu ambaye kadiri watu wanavyolalamika maisha magumu,bando bei ghali yeye anataka waumizwe zaidi
Achangie hizo hela za hivyohovyo kwenye serikali sasaMuuza unga yule hawezi kuwa na roho nzuri