Simba Sport Club mkapambanie nembo na nchi yetu huko Afrika Kusini

Simba Sport Club mkapambanie nembo na nchi yetu huko Afrika Kusini

Action and Reaction

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2021
Posts
1,438
Reaction score
1,496
Wachezaji wa Simba nyie ndio mnaoiwakilisha Tanzania, serikali ipo nyuma yenu, wananchi wapo nyuma yenu hivyo ushindi wenu ni ushindi wa nchi!

Pirate ni timu ya kawaida sana na mtawamudu mpaka hawataamini!

Do or Die in South Africa!
.Manula
.Kapombe
.Inonga
.Shambalala
.Onyango
.Kibu
.PO Sacko
.Mkude
.Bwalya
.Mzamiru
.Banda

Watanzania wote wanasubiria USHINDI pamoja na Vyura watakuwa wanakodolea macho ya unafiki kwenye tv!

Jifunzeni wanawake U19 Huko Burundi ... wachezaji 9 waliambiwa wana COVID ila walioingia walicheza kwa moyo wakatoa sare... Hivyo waliweza kuipambnia nchi yetu!

Nimalizie kwa kusema:
Acheni kuwasikiliza wachambuzi Uchwari kwani GSM wako nyuma yao!

Screenshot_20220418-225748.png
 
Umesema ukweli mkuu.
Tena sio wachambuzi uchwara tu,bali kuna wapenzi wa Simba wengi wanapohojiwa hawaongelei possibilities, Bali wanaongelea kufungwa tu.

Nimeamini kweli ndio maana umaskini na utajiri huambukizwa.Ulizaliwa maskini historia yako itakufanya uukubali umaskini na kuona utajiri kama wa watu wengine
tu.

Utopolo aka vyura wanaitakia mabaya Simba kila mechi.
Kumbukeni hata hii kwa Mkapa walitutabiria kufungwa goli nyingi wakiwemo wachambuzi wanaokula futari kwa gsm.Lakini baada ya ushindi wa goli moja wakabadili kauli tena.

Kama wana simba wakikumbwa na ulemavu wa kufikiri kama hawa utopolo,watawapa sababu wachezaji kucheza bila kujituma kwa kuwa wanaona sie wanasimba tumeshakubali matokeo
 
Ahsante mkuu
 
Ushabiki wa ndani kati ya Simba na Yanga unapovuka nje ya nchi unaliaibisha sana soka la nchi hii na Taifa kwa ujumla
 
Back
Top Bottom