Kuna goli tatu za penatiWe ni mtu mzima weka mahaba pembeni na useme ukweli katk zile goli tano kuna goli la mkono
Umesahau Kapuya na Sarungi?Mwigluu aache kiherehere nae ni kwl kbisa huwez kutumia rasilimali za gvt hasa hii inayobana matumizi kwa aajili ya mambo binafs maana huko yanga hata uongozi hana
sasa kama ilikuwa halali mlitaka kungoa kwasababu IPI...Simba wahuni tu lipeni gharama za uwanja wetu wa Taifa kisha mjenge wenu Bunju muwe mnang'oa viti vyenu wenyewe, Yanga ilifungwa 5-1 na red card mbili haikung'oa kiti hata kimoja
Tunaomba utuandukie tuone...Taarifa imekaa vibaya kishenz yaan
Cjui hawana kurugenzi ya habari!!?
hii taarifa mbona haieleweki
Watanzania hatuko makini kwa mambo mengi iwe kwa mtu mmoja mmoja, vikundi na hata viongozi wa ngazi mbalimbali.kulipa tutalipa tu lakini muungwana ni vitendo wenzetu wana yanga bundi ndo anaanza kuingiza kichwa chake kaeni chini muanze kuutafuta ugonjwa kwa sasa ni mkuki kwa nguruwe pia tff kwa kuzuiliwa uwanja wa taifa nao wanakosa kipato na wala siyo kuziumiza timu ila nao ni ujumbe tosha kuwa hawawezi kuongoza mpira wa tanzania ndiyo maana tunaajiri makocha kila leo na hatufiki mbali kutokana na viongozi kuwa na unazi wa uyanga yanga.Kwa upande wa serikali naomba ukipewa jukumu la kitaifa basi simamia utaifa pia naiomba serikali iiadhibu pia na tff kwa kushindwa kusoma alama za nyakati kwani si mara ya kwanza kwa tff kufanya makosa haya na badala yake wanaadhibiwa timu kwa makosa ya tff nafikiri pia wadau walishauri kuwa kwa mechi kama hizi waje marefarii kutoka nje wasiojua simba wala yanga
Ushindi ni mtamu zaidi ukipatikana kihalali. Ukijengeka utamaduni wa kushinda vinginevyo soka la Tanzania litaenda ICU. Lengo liwe ni kukuza mpira nchini kwa ushindani viwanjani ili kupata wachezaji wazuri wa kimataifa km Samatha.Watanzania hatuko makini kwa mambo mengi iwe kwa mtu mmoja mmoja, vikundi na hata viongozi wa ngazi mbalimbali.
Ni wepesi kuridhika na majibu mepesi kwa mambo mazito yanayoweza kuleta matokeo mbaya siku za baadaye. "Usipoziba ufa utajenga ukuta". Uongozi mbovu wa mpira nchini umevumiliwa vya kutosha. Mahaba kwa vilabu yanaua mpira. Rushwa ikiachiwa itawale itakuwa kaburi la soka. Waamuzi wasio weledi na wavivu viwanjani husababisha vurugu na hasara.
Baadhi ya viongozi wa tff wako pale kupigania maslahi ya timu walizo na mapenzi nazo. Hilo limedhihirishwa na maamuzi yanafanywa na mashauri mengine yanayofikishwa kwenye kamati husika hayahitimishwi. Tunaona namna viongozi walivyo bize kuandaa mazingira ya kubaki madarakani.
Tukatae mahaba yaliyopitiliza ya viongozi wa kitaifa kwa timu za mpira. Kiongozi mmoja wa kisiasa alikuwa maarufu kwa fitna. Hakuona taabu kuwafitini wapinzani kwa viwango vya mateso yenye madhara makubwa kwa binadamu.
Wasingeweza kung'oa viti kwa sababu sio vya kichina. Halafu kuna vitu vinafanana kati ya Yanga na CCM.hapana mkuu arsenal wamefunga kwa mkono sekunde ya mwisho hakuna alieng'oa kiti wakat tambwe amefunga kwa mguu.