huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Iko hivi, TFF na FKF ni kama zinashindana Gor mahia akifuzu nusu fainali msimu wa 2020/2021 kenya itapeleka timu nne! Simba ikifuzu Semi final na Gor akafuzu tutakuwa hatuna athari yoyote tukitoka na gor akatoka msimu wa 2020/2021 tutapeleka timu nne!
Shirikisho mbili na CL mbili, hizo point tulizozipata hazianzi kufanya kazi 2019/2020 zitaanza 2020/2021!
GOR mahia alikula 2 nyumbani so weekend yeye na simba wakitolewa ina maana TZ itakuwa na point nyingi so msimu wa 2020-2021 kuanzia october mwakani Tanzania itaingiza team 4,mbili klabu bingwa mbili shirikishoAsante sana brother,kwa maana hiyo tunaiombea njaaa Gor Mania siyo?
Maana uwezekano wa Simba kutokufuzu robo final haupo....