Simba sport club. Tuleteeni wafungaji mashine kisawa sawa

Theb

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
3,927
Reaction score
7,276
Nimeangalia mechi ya leo ya simba akiwa ugenini pale ushirika moshi akicheza na mwenyeji wake polisi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kiuhalisia na ukweli usiofichika simba tuna tatzo la wafungaji/wamaliziaji. Mfungaji anakimbia kabla mpira haujapigwa au anashindwa kusoma position aliyopo kabla hajapiga mpira wa mwisho. Mugalu kaokoa kama 2 hivi badala ya kufunga. Aisee kiujumla tukubaliane tu mwaka huu kikombe cha ligi kuu tuwape tu utopolo aka utopwinyo au kwa jina lingine chura/bwawani fc. Tunazidi kuweka pengo la points baina yetu na utopwinyo, leo tusije kumlalamikia muamuzi yoyote yule kwa maana makosa na kukosa hizi points 3 ni yetu simba sc wachezaji na bench la ufundi hizi lawama ni zao wala wasije kutuambia eti imepanda imeshuka. Kikosi kilikua dhaifu mno angalau walivyoingia chama, Morrison na mkude walisukuma sukuma ila tayari muda ulisha sogea saana kiasi kwamba pressure ya mchezo imefikia kuleta umakini kwa wote
Uongozi wa simba msimj ujao tunawaombeni saana tusajilieni mashine za magoli waliopo wamechoka mno.

Kocha nayeye amezingua kikosi alichopanga sio cha kushinda bali cha kukamilisha ratiba tu.
 
Kocha wa makolo alijiamini sana.
mnyama kapakatwa lakini katulia tulii.
 
Wafungaji wa Simba kitu pekee wanaweza funga ni Ramadhan na Kwaresma
 
Hv nyie Makolo bado ulikuwa mnawaza na mnaendelea kuwaza kuhusu ubingwa..!!!
Kweli nyie Makolo maana hamna kitu humo kichwani. Kusoma hamjui ndo hata picha..🤔🤔🤔
 
Plan yetu ipo kimataifa, tunawaachia wa mchangani.
Acha kuwadanganya hili kombe tuna shida nalo pia na ni moja ya malengo ya simba sc mwaka huu tuseme tu tumepuyanga
 
Sasa wewe utopwinyo hata ukiubeba huu ubingwa utafika wapi..? Kimataifa tupo waume zenu tuna wapigania wake zetu na mkija kule lazima mtusaliti mpigwe nje ndani na michepuko.
Hv nyie Makolo bado ulikuwa mnawaza na mnaendelea kuwaza kuhusu ubingwa..!!!
Kweli nyie Makolo maana hamna kitu humo kichwani. Kusoma hamjui ndo hata picha..🤔🤔🤔
 
Uongozi wa simba unazingua unataka kuchukua ubingwa ila mabahili kusajili pia kocha anazingua sana anaacha wachezaji bora nje anaingiza muda umeenda
Acha ujinga simba sio bahili mzee humu tz timu gani imesajili wachezaji ghali..? Waliopo wamechoka ni hesabu zime
Labda wafungaji mashine wa mchongo

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
hao hao wanawapigania wake zao kule kimataifa afu wake zao wakija kimataifa wana wasaliti kwa kupigwa nje ndani
 
Acha ujinga simba sio bahili mzee humu tz timu gani imesajili wachezaji ghali..? Waliopo wamechoka ni hesabu zime

hao hao wanawapigania wake zao kule kimataifa afu wake zao wakija kimataifa wana wasaliti kwa kupigwa nje ndani
mjinga mwenyewe kuwa na adabu
 
Back
Top Bottom