Simba Sport Club yaanzisha tunzo ya mchezaji bora wa mwezi

Simba Sport Club yaanzisha tunzo ya mchezaji bora wa mwezi

RAHA KAMILI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
203
Reaction score
83
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]http://1.bp.blogspot.com/-Hnoa1GzXg...AAIH0/xDdcJkB_Sqo/s1600/simba+sports+club.JPG
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Rais wa Simba Sport Klabu Evans Aveva (Kulia) akiwa na afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani kajula wakati wa Uzinduzi wa tunzo za Mchezaji bora wa Mwezi .
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Katika kuongeza morali na kuwazawadia wachezaji wanaofanya vizuri, Klabuya Simba imeanzishaTunzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi kuanzia mwezi wa Septemba 2015.

[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Akizungumza jijini Dar es salaam Raiswa Simba Evans Aveva alisema “Uongozi, wanachama na wapenziwa Simba wanathamini mno mchango wa wachezaji katika kuifanya timu yetu ifanye vizuri, hivyo tumeona ni jambo la busara kuwa klabu ya kwanza Nchini Tanzania kuwa na tunzo za mchezaji wake bora. Tunaamini kuwaTunzo yaMchezaji bora wa mwezi wa Simba itaongeza ari na kujituma kwa wachezaji wetu. Sisi tukiwa kama viongozi ni kazi yetu ya msingi kuhakikisha kuwa wachezaji wetu hasa wale wanaojituma zaidi wanatambuliwa na kuenziwa’’.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Akizungumza jinsi tunzo ya mchezaji bora itakavyoendeshwa, Mkurugenzi Mkuu wa EAG Group ambao ni washauri na watekelezaji wa Masoko na Biashara wa Simba, Imani Kajula alisema “Wanachama na wapenziwa Simba na wapenda michezo ndio watakao kuwa wanachagua mchezaji bora wa mwezi kwa kutuma jina la mchezaji wanayempendekeza kwenda kwenye namba 15460, Ni wale tu ambao wamejiunga na Simba News kupitiamtandaowaVoda na Tigo wataweza kupiga kura kuchagua mchezaji bora wamweziwa Simba’’
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Simba News ni huduma iliyoanzishwa na Simba ilikuwapa wapenzi wa Simba habari mbalimbali za Simba popote pale walipo ikiwemo matokeo, majina ya wachezaji wanaocheza mechi, usajili na habari nyingine za klabu ya Simba. Kujiungana Simba News tuma neno Simba kwenda namba 15460 ni maalum kwa Tigo na Vodacom.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Jinsi ya kumchagua mechezaji bora wa mwezi September 2015.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]1. Jiunge na Simba News kwa kutuma neno Simba kwenda namba 15460.
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]2. Tuma jina la mchezaji kwenda namba 15460.
[/FONT]


[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Kwa maelezo zaidi tembelea www.simbasports.co.tz
[/FONT]
 
Hii kitu inaweza kuishia njiani bila sababu za msingi.

Ingekuwa vema kama kura zingepigwa pia kupitia website yao maana hizo huduma za tigo na voda wengine hawatumii kabisa.

Kila kheri mnyama
 
Kunatuzo ilitangazwa kwa mbwembwe wakati msimu uliopita unaanza ,moja ya zawadi iliyotajwa ilikuwa gari,sijui iliishiaga Wpi,simba bwana
 
Tuzo inaisha Leo Leo baada ya mnyama kupopolewa na Yanga FC
 
Back
Top Bottom