Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tuliza mshono mgosi, GSM wamechomoa betri hukoLabda hilo kombe tukaliibe! Ila siyo kwa kulichukua kupitia zile dakika 90! Siyo kwa timu ya Wananchi, siyo kwa hao mbumbumbu!
Labda kwa miaka ijayo! Baada ya kufanya uwekezaji ulio tukuka nje na ndani ya uwanja.