Simba sports hawana bahati ya kupata makocha wazuri kama ilivyo kwa Yanga. Wamekuwa wakiajiri makocha wabovu hata huyu aliyepo sasa Patrick Aussens. Ni kocha gani ambaye ujio wake haubadilishi uchezaji wa wachezaji. Kila mchezaji anacheza kama alivyokuwa akicheza kabla kocha hajaletwa. Na kwa huyu Patrick Aussens Simba hawatafika popote na hata ubingwa wa ligi kuu wausahau kabisa