Simba sports hawana bahati ya kupata makocha wazuri kama ilivyo kwa Yanga. Wamekuwa wakiajiri makocha wabovu hata huyu aliyepo sasa Patrick Aussens. Ni kocha gani ambaye ujio wake haubadilishi uchezaji wa wachezaji. Kila mchezaji anacheza kama alivyokuwa akicheza kabla kocha hajaletwa. Na kwa huyu Patrick Aussens Simba hawatafika popote na hata ubingwa wa ligi kuu wausahau kabisa
Uzuri wa makocha wa Yanga ni ndoo 28 za TPL. Anayefuatia ana ndoo 19. Ni tofauti kubwa na ya msingi.Umeshindwa kujenga hoja. Unaposema Yanga huwa wanapata makocha wazuri ok, wameifikisha Yanga wap kimataifa? Pili kwa ubaya wa makocha hao hao wa Simba walau kuna kitu kinafikiwa. Mfano mzr ni huu, miaka mitatu yanga imekuwa bingwa wa Tz bara hata hatua ya makundi haijafka sjui hao makocha wazuri wamefanya nn utueleze kdgo.
Mwisho duniani kote hakuna timu isiyofungwa. Manchester City BINGWA WA EPL msimu wa mwaka jana tayari imeshakubali vipigo. Huo ndio mpira, una matokeo ya aina tatu. HUTAKI SIKULAZIMISHI
Sent using Jamii Forums mobile app
U
Uzuri wa makocha wa Yanga ni ndoo 28 za TPL. Anayefuatia ana ndoo 19. Ni tofauti kubwa na ya msingi.
Club bingwa ya Afrika. Suala si kufika wapi. Ni kuchukua ubingwa. Zaidi ya Club ya South Africa na DRC nani kachukua ukanda wetu? Tunawasindikiza Afrika Magharibi na Kaskazini.Vp mashindano mengine yanayohusisha timu za Tanzania na zile za nje ya Tanzania km vile sport pesa, kagame na klabu bingwa Africa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Club bingwa ya Afrika. Suala si kufika wapi. Ni kuchukua ubingwa. Zaidi ya Club ya South Africa na DRC nani kachukua ukanda wetu? Tunawasindikiza Afrika Magharibi na Kaskazini.
Inashangaza sana. Hao wanaopata makocha wazuri hawafiki popote na wakija hapa bongo hawajawahi kuihenyesha simba.Umeshindwa kujenga hoja. Unaposema Yanga huwa wanapata makocha wazuri ok, wameifikisha Yanga wap kimataifa? Pili kwa ubaya wa makocha hao hao wa Simba walau kuna kitu kinafikiwa. Mfano mzr ni huu, miaka mitatu yanga imekuwa bingwa wa Tz bara hata hatua ya makundi haijafka sjui hao makocha wazuri wamefanya nn utueleze kdgo.
Mwisho duniani kote hakuna timu isiyofungwa. Manchester City BINGWA WA EPL msimu wa mwaka jana tayari imeshakubali vipigo. Huo ndio mpira, una matokeo ya aina tatu. HUTAKI SIKULAZIMISHI
Sent using Jamii Forums mobile app
Gor Mahia champion wa Afrika mwaka gani?KUMBE UFATILII NA HUTAKI KUUJUA MPIRA. Hv unaweza nitajia timu zilizowahi kuwa champion ktk EPL? Ndio mana yakaitwa mashindano.
Gor Mahia wameshafanya hayo mambo. Shida yko huupendi mpira unapenda UBISHI
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kubishana na mikia mkuu, watakupa headache. Hao kazi yao kula hela za kanjibai na kufanya mazoezi huku wametandika mataulo.Gor Mahia champion wa Afrika mwaka gani?
EPL historical champion ni Man U kwa sasa. Kamzidi Liverpool ndoo moja 19 kwa 18.
Taja mwaka.