Simba Sports hawana kocha

Baada ya mechi na Al Ahly kocha wa underdog atatupiwa vilago vyake
Watakuwa wamemuonea maana wanasema walimpa target ya makundi na TPL trophy,so Bado kawafikisha japo wakirudi na lumbesa Misri,na kuja kubebeshwa kiroba taifa wanaweza mtimua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…