B bahatibahati Member Joined Jul 4, 2023 Posts 44 Reaction score 84 Jul 5, 2024 #1 Salaam, Viongozi wa Simba mnapaswa kufanya usajili kutafuta mbadala wa LAMECK LAWI wakati mkitafuta suluhisho la mgogoro huo. Msisubiri muda unaenda sana. Tafadharini najua mtaenda CAS ila kwa kipindi hiki tafuteni mashine zaidi ya Lawi.
Salaam, Viongozi wa Simba mnapaswa kufanya usajili kutafuta mbadala wa LAMECK LAWI wakati mkitafuta suluhisho la mgogoro huo. Msisubiri muda unaenda sana. Tafadharini najua mtaenda CAS ila kwa kipindi hiki tafuteni mashine zaidi ya Lawi.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jul 5, 2024 #2 Wachukue walioachwa na pamba fc
H Hichilema JF-Expert Member Joined Sep 4, 2016 Posts 1,608 Reaction score 1,687 Jul 5, 2024 #3 Mbadala yupo na akijiroga akaenda hataanza