Simba tujipange vizuri dhidi ya Power Dynamos, maadui zetu wamejipanga kutuangusha wabakie wao tu

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.

Mtakuja kunishukuru
 
Akili za mashabiki na viongozi wa hii timu kwakweli ni matatizo. Yan mtu aache kambi yake aje kukuwangia wewe ufanye vibaya wakati huo na yeye ana jukumu la kuhakikisha anafanya vizuri kwake.

Hizi ni akili au mtope? Mnaendaga shule kusomea ujinga? Mama ana kazi kubwa kwa hili kundi linalojiita mashabiki wa Makolo.
 
Hivi ndivyo si kwa baadhi ya Mashabiki tu bali hata wengi katika viongozi wa Simba wana amini katika ushirikina, Hawaamini katika utaalamu na uwekezaji katika soka.

Klabu ya Simba kutamkwa na shirikisho la mpira barani Afrika kuwa ni timu inayo husudu ushirikina kwa kiwango cha juu haikua baatimbaya.

Tukumbuke kabla ya tamko na adhabu za Caf kwa Simba tayari klabu iyo ilisha kuwa ikishikilia rekodi ya kuadhibiwa na Tff kwa ushirikina kwa miaka takribani mitatu mpaka mi nne mfululizo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
We msengelema.... Mods punguzeni kuaprove nyuzi za kijinga Kama hizi, nyie mashabiki wa Simba mmewahi kuwaza mpira kisayansi?.
 
Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.

Mtakuja kunishukuru
Msiende tena mkatutie aibu ya kuwasha moto uwanjani kwa ajili ya ushirikina wenu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.

Mtakuja kunishukuru
Na hofu na akili za watakao kuunga mkono katika hili
 
Mbumbumbuu buana ndo kafanyeni kurudi kinyumenyume basi huko zambia
 
Akili za mashabiki na viongozi wa hii timu kwakweli ni matatizo. Yan mtu aache kambi yake aje kukuwangia wewe ufanye vibaya wakati huo na yeye ana jukumu la kuhakikisha anafanya vizuri kwake.

Hizi ni akili au mtope? Mnaendaga shule kusomea ujinga? Mama ana kazi kubwa kwa hili kundi linalojiita mashabiki wa Makolo.
Nachukizwa sana na wanaoamini sana ushirikina ajabu kabisa unaweza kukuta ni kijana msomi tu.
 
Akili za mashabiki na viongozi wa hii timu kwakweli ni matatizo. Yan mtu aache kambi yake aje kukuwangia wewe ufanye vibaya wakati huo na yeye ana jukumu la kuhakikisha anafanya vizuri kwake.

Hizi ni akili au mtope? Mnaendaga shule kusomea ujinga? Mama ana kazi kubwa kwa hili kundi linalojiita mashabiki wa Makolo.
Mashabiki wa Uto walikuwa wanaenda airport kuwapokea wapinzani wa simba na hakuna kiongozi wa uto aliwahi kukemea. Wana uto walikuwa wanatangazia ulimwengu kwamba simba inapuliza sumu vyumbani kwa wapinzani au iko tayari kuua ili kushinda.
Hii yote uto alikuwa anafanya ili tufanane kwa kushindwa.

Sasa kwa matukio hayo wewe unaanzaje kuwawekea dhamana wana uto wenzio wote kuwa wamebadilika?
 
Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.

Mtakuja kunishukuru
Mfa maji haishi kutapatapa.
 
Hivi ndivyo si kwa baadhi ya Mashabiki tu bali hata wengi katika viongozi wa Simba wana amini katika ushirikina, Hawaamini katika utaalamu na uwekezaji katika soka.

Klabu ya Simba kutamkwa na shirikisho la mpira barani Afrika kuwa ni timu inayo husudu ushirikina kwa kiwango cha juu haikua baatimbaya.

Tukumbuke kabla ya tamko na adhabu za Caf kwa Simba tayari klabu iyo ilisha kuwa ikishikilia rekodi ya kuadhibiwa na Tff kwa ushirikina kwa miaka takribani mitatu mpaka mi nne mfululizo.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Simba ni WACHAWI FC, wazee mnazngua bana pigeni tizi mjenge timu yenu...sema mangungu kimwonekano ni mchawi ana wakilisha
 
Back
Top Bottom