Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ukitaka kuikasirisha CAF, iguse Simba. Sasa sijui wewe unaizungumzia CAF gani, labda ya LipumbaKlabu ya Simba kutamkwa na shirikisho la mpira barani Afrika kuwa ni timu inayo husudu ushirikina kwa kiwango cha juu haikua baatimbaya.
Msiende tena mkatutie aibu ya kuwasha moto uwanjani kwa ajili ya ushirikina wenu.Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.
Mtakuja kunishukuru
Na hofu na akili za watakao kuunga mkono katika hiliNinazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.
Mtakuja kunishukuru
Kwani ya Lipumba ni CAF au CUF..??Ukitaka kuikasirisha CAF, iguse Simba. Sasa sijui wewe unaizungumzia CAF gani, labda ya Lipumba
Nachukizwa sana na wanaoamini sana ushirikina ajabu kabisa unaweza kukuta ni kijana msomi tu.Akili za mashabiki na viongozi wa hii timu kwakweli ni matatizo. Yan mtu aache kambi yake aje kukuwangia wewe ufanye vibaya wakati huo na yeye ana jukumu la kuhakikisha anafanya vizuri kwake.
Hizi ni akili au mtope? Mnaendaga shule kusomea ujinga? Mama ana kazi kubwa kwa hili kundi linalojiita mashabiki wa Makolo.
Mashabiki wa Uto walikuwa wanaenda airport kuwapokea wapinzani wa simba na hakuna kiongozi wa uto aliwahi kukemea. Wana uto walikuwa wanatangazia ulimwengu kwamba simba inapuliza sumu vyumbani kwa wapinzani au iko tayari kuua ili kushinda.Akili za mashabiki na viongozi wa hii timu kwakweli ni matatizo. Yan mtu aache kambi yake aje kukuwangia wewe ufanye vibaya wakati huo na yeye ana jukumu la kuhakikisha anafanya vizuri kwake.
Hizi ni akili au mtope? Mnaendaga shule kusomea ujinga? Mama ana kazi kubwa kwa hili kundi linalojiita mashabiki wa Makolo.
Mfa maji haishi kutapatapa.Ninazo taarifa kuwa wachezaji wetu wamefungwa miguu wawe wazito ili tuondoshwe kwenye ligi ya mabingwa wabaki wao, am telling the truth, don't take if for granted.Tupambane ikiwezekana gemu tukaimalize huko huko Zambia ingawa nao wanajua mnyama ni mtu aina gani, hivyo wamejipanga nao kumaliza gemu kwao.
Mtakuja kunishukuru
Hivi ndivyo si kwa baadhi ya Mashabiki tu bali hata wengi katika viongozi wa Simba wana amini katika ushirikina, Hawaamini katika utaalamu na uwekezaji katika soka.
Klabu ya Simba kutamkwa na shirikisho la mpira barani Afrika kuwa ni timu inayo husudu ushirikina kwa kiwango cha juu haikua baatimbaya.
Tukumbuke kabla ya tamko na adhabu za Caf kwa Simba tayari klabu iyo ilisha kuwa ikishikilia rekodi ya kuadhibiwa na Tff kwa ushirikina kwa miaka takribani mitatu mpaka mi nne mfululizo.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app