Simba tukifanya mabadiliko kwa beki yetu tunaweza kufika mbali. Mimi naombea tupewe mamelodi. Kama Al Hilal waliweza kufungwa goli moja na mamelodi pia wakatoa sare nyumbani why not Simba?. Simba kucheza na Mamelodi ni advantange kwetu kuliko kupewa Waarabu. Warabu ni shida kwetu wanasimba lakini pia muda tunaochezeshwa tukienda kwaooo ni kiama.
Simba inahtaji beki mfia timu, Saido pia inabidi achezeshwe pembeni ili Chama arudi namba 10 tukianza mechi za robo fainali.
Inshallah simba tutavuka this time. Robo fainali imekuwa jambo la kawaida sana.