Wewe ni mjinga sana, Mamelodi waliacha Al hilal washinde kwao Sudan wakachemka wenyewe tu.SIMBA tukifanya mabadiliko kwa beki yetu tunaweza kufika mbali. Me naombea tupewe mamelodi. Kama AL HILAL waliweza kufungwa goli moja na mamelodi pia wakatoa sare nyumbani why not SIMBA. Simba kucheza na mamelodi ni advantange kwetu kuliko kupewa WAARABU. Warabu ni shida kwetu wanasimba lakini pia muda tunaochezeshwa tukienda kwaooo ni KIAMA.
SIMBA INAHTAJI BEKI MFIA TIMU, SAIDO pia inabd achezeshwe pembeni....ili CHAMA arudi namba 10 tukianza mechi za ROBO FAINALI.
INSHALLAH SIMBA TUTAVUKA THIS TIME. ROBO FAINALI IMEKUWA JAMBO LA KAWAIDA SANA
Timu gani ya South Africa msha wahi itoa,?SIMBA tukifanya mabadiliko kwa beki yetu tunaweza kufika mbali. Me naombea tupewe mamelodi. Kama AL HILAL waliweza kufungwa goli moja na mamelodi pia wakatoa sare nyumbani why not SIMBA. Simba kucheza na mamelodi ni advantange kwetu kuliko kupewa WAARABU. Warabu ni shida kwetu wanasimba lakini pia muda tunaochezeshwa tukienda kwaooo ni KIAMA.
SIMBA INAHTAJI BEKI MFIA TIMU, SAIDO pia inabd achezeshwe pembeni....ili CHAMA arudi namba 10 tukianza mechi za ROBO FAINALI.
INSHALLAH SIMBA TUTAVUKA THIS TIME. ROBO FAINALI IMEKUWA JAMBO LA KAWAIDA SANA
Simba huwa wana tatizo la kuangalia mtu badala ya mahitaji ya timu. Outtara achukue nafasi ya Onyango, na Saido aanzie benchi. Outtara ni mchezaji anayecheza kwa akili zaidi na ni mtu wa kupeleka mipira mbele.SIMBA tukifanya mabadiliko kwa beki yetu tunaweza kufika mbali. Me naombea tupewe mamelodi. Kama AL HILAL waliweza kufungwa goli moja na mamelodi pia wakatoa sare nyumbani why not SIMBA. Simba kucheza na mamelodi ni advantange kwetu kuliko kupewa WAARABU. Warabu ni shida kwetu wanasimba lakini pia muda tunaochezeshwa tukienda kwaooo ni KIAMA.
SIMBA INAHTAJI BEKI MFIA TIMU, SAIDO pia inabd achezeshwe pembeni....ili CHAMA arudi namba 10 tukianza mechi za ROBO FAINALI.
INSHALLAH SIMBA TUTAVUKA THIS TIME. ROBO FAINALI IMEKUWA JAMBO LA KAWAIDA SANA
Saido ni mzuri akicheza na PrisonSimba huwa wana tatizo la kuangalia mtu badala ya mahitaji ya timu. Outtara achukue nafasi ya Onyango, na Saido aanzie benchi. Outtara ni mchezaji anayecheza kwa akili zaidi na ni mtu wa kupeleka mipira mbele.
Kuna mtu alihoji jambo juzi hapa kuhusu Saido Ntibanzokiza limenifikirisha sana. Mbona pamoja na uchezaji wake wa kiwango cha chini katika mechi nyingi, inakuwa shida kumtoa sub? Au mategemeo yalikuwa makubwa kwake hadi mkataba wake ukamhakikishia dakika 80+ katika kila mchezo? Uwepo wake mchezoni unaifanya Simba kama icheze na mtu moja pungufu. Anaua movement nyingi za timu.
Yaani Mamelodi aliambulia ushindi kiduchu wa 1-0 akiwa kwao South Africa wakati alikuwa bado mapema akihitaji sana ushindi,ndo aje apate kushinda 3-0 ugenini,hesabu za Mpira huwa haziko hivyo it is about realities inategemea umejipangaje na situation ya mechi husikaWewe ni mjinga sana, Mamelodi waliacha Al hilal washinde kwao Sudan wakachemka wenyewe tu.
Ile mechi Mamelodi wangekwenda kiushindani Al hilal angekufa zaidi ya goli 3 nyumbani kwake.
Hilo kombe mwaka huu wanachukuwa Mamelodi.
Wewe ni mjinga sana, Mamelodi waliacha Al hilal washinde kwao Sudan wakachemka wenyewe tu.
Ile mechi Mamelodi wangekwenda kiushindani Al hilal angekufa zaidi ya goli 3 nyumbani kwake.
Hilo kombe mwaka huu wanachukuwa Mamelodi.
Mimi mwenyewe sidhani kama Mamelodi hawakutaka kushinda mechi ile. Al Hilal nilikuwa nasema juzi hapa, ni timu inayojua sana kujilinda ila haina uwezo sana kwenye ushambuliaji. Ukiwaangalia toka mechi na Yanga, imekuwa inacheza hivyo hivyo.Yaani Mamelodi aliambulia ushindi kiduchu wa 1-0 akiwa kwao South Africa wakati alikuwa bado mapema akihitaji sana ushindi,ndo aje apate kushinda 3-0 ugenini,hesabu za Mpira huwa haziko hivyo it is about realities inategemea umejipangaje na situation ya mechi husika
Saido ni mchezaji mzuri ila ana tatizo la kutaka kukaa sana na mpira wakati uwezo wake wa kuulinda mpira na kuugawa kwa usahihi siyo wa kuridhisha.Saido ni mzuri akicheza na Prison
Una ichukulia poa raja Casablanca eeh??Wewe ni mjinga sana, Mamelodi waliacha Al hilal washinde kwao Sudan wakachemka wenyewe tu.
Ile mechi Mamelodi wangekwenda kiushindani Al hilal angekufa zaidi ya goli 3 nyumbani kwake.
Hilo kombe mwaka huu wanachukuwa Mamelodi.
Saido umri umeshamtupa mkono.Saido ni mchezaji mzuri ila ana tatizo la kutaka kukaa sana na mpira wakati uwezo wake wa kuulinda mpira na kuugawa kwa usahihi siyo wa kuridhisha.
Nikikupa mfano mdogo wa Denis Kibu alipokuwa analalamikiwa sana ilikuwa ni kwa sababu alikuwa anataka kufanya mambo mengi akipata mpira. Alipoanza tu kuwa mtu wa kupokea na hapo hapo anatoa, kelele zikaisha na unaona sasa hivi anajaribu kuongeza tuvitu fulani kidogo kidogo maana issue yake ilikuwa zaidi psychological.
Saido ni hivyo hivyo, arudi kwanza acheze simple football, mambo yakianza kumuendea vizuri ndiyo aongeze sasa taratibu hayo mengine. Ninachompendea anapenda mpira wa speed.
Mbona unajichanganya tena mwenyewe? Simba alichapwa na Raja 3-0 Dar ambapo ni kwao Simba lkn kule Casablanca ambapo ni kwa Raja, Simba akapata nafuu na akabamizwa 3-1.Yaani Mamelodi aliambulia ushindi kiduchu wa 1-0 akiwa kwao South Africa wakati alikuwa bado mapema akihitaji sana ushindi,ndo aje apate kushinda 3-0 ugenini,hesabu za Mpira huwa haziko hivyo it is about realities inategemea umejipangaje na situation ya mechi husika
nini? huu ni wehuSimba tukifanya mabadiliko kwa beki yetu tunaweza kufika mbali. Mimi naombea tupewe mamelodi. Kama Al Hilal waliweza kufungwa goli moja na mamelodi pia wakatoa sare nyumbani why not Simba?. Simba kucheza na Mamelodi ni advantange kwetu kuliko kupewa Waarabu. Warabu ni shida kwetu wanasimba lakini pia muda tunaochezeshwa tukienda kwaooo ni kiama.
Simba inahtaji beki mfia timu, Saido pia inabidi achezeshwe pembeni ili Chama arudi namba 10 tukianza mechi za robo fainali.
Inshallah simba tutavuka this time. Robo fainali imekuwa jambo la kawaida sana.