Simba tukubali yanga hii inatisha

Simba tukubali yanga hii inatisha

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Sio kwa mpira ule, tulijua feitoto akiwavuruga yanga watadondosha point Lakin wapi. Kombe letu ni feitoto tu kutokurudi yanga.
Kwanini tunaitwa mandunduka, zuwena fc?
20230305_155701.jpg
 
WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
 
Na Madunduka mbumbumbu wewe unaongoza
 
Tupo pamoja mwana lunyasi mwenzangu.
Simba
Guvu moya
 
WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
Kunywa maji upunguze hasira.
 
Uto mko vyedi,mkiendelea na huu moto mpaka misimu mitatu minne hivi robo fainali ya cafcl mtaanza kugusa gusa.
watani mpooooo,,,,!!

ila African super cup aiwahusu kule ni Simba tu ndo mwenye hadhi ya kushiriki kwa nchi za east Africa🥲😂
 
WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
Sasa Ndugu mchangia mada, alichokosea mleta mada Nini!? Yeye kaomba tu wanasimba mkubali kwamba Yanga hii inatisha basi.

Na ni kweli ukiwacheki wanavyocheza na wanavyo approach game zao yes ni wanatisha kweli, wapo peak.

Hasira za Nini sasa!?

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
ebu iweke hiyo Simba iliyo top 10
 
Sasa Ndugu mchangia mada, alichokosea mleta mada Nini!? Yeye kaomba tu wanasimba mkubali kwamba Yanga hii inatisha basi.

Na ni kweli ukiwacheki wanavyocheza na wanavyo approach game zao yes ni wanatisha kweli, wapo peak.

Hasira za Nini sasa!?

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Leo makubaliano yetu leo na Mkwasa ilikuwa 5, bila sasa sujui tumekosea wapi.
 
WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
Duniani hakuna klabu Bora kwakua Inashika nafasi ya kwanza mpaka ya kumi, Izo ni namba na uwa zinabadilika Kila mwaka.
Klabu Bora Dunia zinapimwa Kwa Mataji/ubingwa Kwa maana iyo mbumbumbu fc haijawahi kuwa klabu Bora popote si apa Tanzania au uko kwenye mashindano ya Caf.
Yanga ndio klabu Bora ya muda wote apa Tanzania uko kwenye mashindano ya Caf hatujawa bora. kwasasa tunajipanga ndani ya miaka mitatu mpaka mitano tukiweza kujijenga ki uchumi tunaweza kuwa Bora Kwa kutwaa Mataji Africa.
Kwa hapa nyumbani tunategemea kupata changamoto ila si Ushindani.
 
Yanga ndio timu bora kwa Sasa Africa mashariki na Kati!!

Hutaki pita kule[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bora kwa kuwafunga geita,??timu bora zipo klabu bingwa na ni simba,vipers,vita,na hilal na mereikh nyie wengine ni kinyesi fc tu
 
Back
Top Bottom