kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Na Madunduka mbumbumbu wewe unaongozaWanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
Tupo pamoja mwana lunyasi mwenzangu.WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
Na ipo kombe la ma looser AfricaYanga ndio timu bora kwa Sasa Africa mashariki na Kati!!
Hutaki pita kule[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Afrika mashariki na kati ya temeke labdaYanga ndio timu bora kwa Sasa Africa mashariki na Kati!!
Hutaki pita kule[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kunywa maji upunguze hasira.WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
Sasa Ndugu mchangia mada, alichokosea mleta mada Nini!? Yeye kaomba tu wanasimba mkubali kwamba Yanga hii inatisha basi.WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
ebu iweke hiyo Simba iliyo top 10WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
Leo makubaliano yetu leo na Mkwasa ilikuwa 5, bila sasa sujui tumekosea wapi.Sasa Ndugu mchangia mada, alichokosea mleta mada Nini!? Yeye kaomba tu wanasimba mkubali kwamba Yanga hii inatisha basi.
Na ni kweli ukiwacheki wanavyocheza na wanavyo approach game zao yes ni wanatisha kweli, wapo peak.
Hasira za Nini sasa!?
Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
Duniani hakuna klabu Bora kwakua Inashika nafasi ya kwanza mpaka ya kumi, Izo ni namba na uwa zinabadilika Kila mwaka.WanaYanga wenye akili ni JK na Baba Manara pekee, wengine wote ukiwemo wewe mleta mada ni Mataahira na majuha wakubwa. Unachoona cha ajabu ni kipi afanyacho Yanga kwa sasa hakijawahi fanywa na Simba. Unapoongea Simba tambua unaongelea KLABU BORA AFRIKA KATIKA TOP 10 Brother so punguza kujizima data kuifananisha na Klabu za Ovyo Ovyo zinazocheza mpira wa butua butua na Judo Uwanjani.
Bora kwa kuwafunga geita,??timu bora zipo klabu bingwa na ni simba,vipers,vita,na hilal na mereikh nyie wengine ni kinyesi fc tuYanga ndio timu bora kwa Sasa Africa mashariki na Kati!!
Hutaki pita kule[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]