Simba tulete nyuki za Gwambina tunaweza shinda

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kama mtanzania mpenda utaifa

Sioni simba kupita kwenye mechi ijayo.

Nashauri kuna nyuki zinatokea kila mara mechi gwambina tunaweza waa,zima kwa mda kwenye mechi yetu na kuwarudisha.

Otherwise tumwombe dk mwamposa afanye maombi sikumoja kabla ya mechi na wachezaji wapakwe mafuta miguuni tuweze pata magoli yote.

Mwisho nawatakia kila la kheri msiogope ninyi ni washindi.
 
Hii mechi imeshaisha kitambo Sana tokea tar. 15.05.2021.
 
Ulivyoanza nikajua hakuna shabiki was Simba hapa,

Simba hatuna uoga wa namna hiyo na jumamosi tunashinda vzr tu bila huyo mwamposa na nyuki wako,

Kitu ambacho wengine wanasahau kipindi Simba anafungwa tano na Aly ahly tena ndani ya dakika 45 kwenye marudiano Aly ahly hakupata hata goli Moja, hapa panaongeza matumamaini kabisa
 
Manara kashasema ndani ya dk 10 za kwanzo Simba atakuwa na goli moja🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama mtanzania mpenda utaifa

Sioni simba kupita kwenye mechi ijayo.

Nashauri kuna nyuki zinatokea kila mara mechi gwambina tunaweza waa,zima kwa mda kwenye mechi yetu na kuwarudisha.

Otherwise tumwombe dk mwamposa afanye maombi sikumoja kabla ya mechi na wachezaji wapakwe mafuta miguuni tuweze pata magoli yote.

Mwisho nawatakia kila la kheri msiogope ninyi ni washindi.
Chura tuliza mshono mzulu anatolewa fresh tu kwa mpira wa miguuni,hayo ya ndumba tuwaachie Yanga na mashosti zao Kaizer Chiefs
 
Kama mtanzania mpenda utaifa

Sioni simba kupita kwenye mechi ijayo.

Nashauri kuna nyuki zinatokea kila mara mechi gwambina tunaweza waa,zima kwa mda kwenye mechi yetu na kuwarudisha.

Otherwise tumwombe dk mwamposa afanye maombi sikumoja kabla ya mechi na wachezaji wapakwe mafuta miguuni tuweze pata magoli yote.

Mwisho nawatakia kila la kheri msiogope ninyi ni washindi.
Huu ushauri ulishindwa kuwapa timu yako ya utopolo walipocheza na Namungo
 
Back
Top Bottom