Simba tulizeni mdomo mkubwa ni mkubwa tu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Simba msikariri kuwa yanga kimataifa ni sawa sawa na Mbeya kwanza sijui kimataifa hatuna lolote sawa tumekubali hatuna lolote.

Naombeni mtambuwe yanga ya sasa sio ile yanga wa zamani
Kumbukeni hata last season mlisema kuwa ongozeni league tu tunajua wapi pakuchukulia ubingwa mipango yenu ikafeli.

Mkabaki kusema sijui sisi tunajua ubingwa wa michongo sijui sisi wachawi sana maneno yakawa mengi
Ila tambuweni kimataifa sisi yanga hatuna experiance yeyote kama mnavyo sema ninyi.

Lakini tuna wachezaji wenye experiance na mashindano hayo akina djuma, mayele na wengine wote wana experiance kwa hiyo ni moto kwenda mbele
 
Simba ukubwa wao kimataifa ni makafara na kuloga inafikia kuwasha moto wa kichawi uwanjani, Tangu Caf iwatambue kuwa klabu yenye vitendo vya kichawi kuliko klabu yoyote barani Afrika basi Wana viiimba [emoji2][emoji2][emoji3]
 
Kwani hao Mikia wanajifananisha na Yanga kwa lipi..Yanga sisi tuko peak na hawawezi kutufikia.. Kwanza kila mechi tunampakata..
 
Ninachojua mara ya mwisho yanga kushinda mechi ya kimataifa mama samia alikuwa kwenye kamati ya bunge la katiba mpya.
Wakati Yanga anaifunga Township Rollers goli 1-0 ugenini 24/08/2019 wewe bado uko mbwinde sisi tukusaidiaje!!!
 
2021/22 Mlifanya nini?

Takatataka katika ubora wako.
 
Yanga 1 - Zesco 2
Yanga 0-Rivers 1
Rovers 1-Yanga 0
Yanga 0- Under 20 Somalia 1
Yanga 0- Vipers 2

Ukishashiba ugali kwa shemeji yako halafu unakuja kubishana na sisi
 
Simba ukubwa wao kimataifa ni makafara na kuloga inafikia kuwasha moto wa kichawi uwanjani, Tangu Caf iwatambue kuwa klabu yenye vitendo vya kichawi kuliko klabu yoyote barani Afrika basi Wana viiimba [emoji2][emoji2][emoji3]
Ingekuwa rahisi hivyo nanyi mngeshafanya mkafika mbali. Nani mlozi kama ninyi wazee wa kupitia milango ya uwani?
 
...Kumbukeni hata last season mlisema kuwa ongozeni league tu tunajua wapi pakuchukulia ubingwa mipango yenu ikafeli.
Sijaelewa mahali, kwamba hata sasa Simba wamewaachia Yanga waongoze ligi kwa muda? Kwani nani anaongoza ligi?
 
Yanga 1 - Zesco 2
Yanga 0-Rivers 1
Rovers 1-Yanga 0
Yanga 0- Under 20 Somalia 1
Yanga 0- Vipers 2

Ukishashiba ugali kwa shemeji yako halafu unakuja kubishana na sisi
Mkuu mbn unasahau game muhimu ya Zanaco fc Kapumbu akitakata vilivyo Benjamini Mkapa stadium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…