Waswahili husema kiporo Cha tajiri huwa hakichachi, msemo huu umedhihirishwa na matajiri wa msimbazi kwa kuendelea kutoa dozi kwa timu za Tanzania premier league maaruf kama TPL,
Leo mnyama amempapasa masau bwire 2:0 bila hata ya kujitutumua, huku akiwa amejitahidi kupunguza idadi ya magori aliyofungwa hapo awali 5:0 na mnyama Simba;
Bukaba na MK-14 hawawezi kusahaulika katika oblongata ya Bwire leo!