Mkuu unajisikiaje? Al Masry kapigwa kwenye mkono alioshonea mshono na mdunga uzi Utopolo kabaki na bumbuwazi🤣🤣🤣Ukiuwa Kwa upanga utakufa Kwa upanga,
Wanasimba waliongoza kununua jezi za Mamelod Sundown mwaka Jana na walizivaa hazwa
Leo wanalilia support ya Yanga ila mwaka walishangilia na kuwa follow Mamelod, hadi wao wakashangaa
Wanasimba waliwaimba Kwa majina akina na Peter Shalulile, Mokoina, modiba,mudau, aliende , Ribeiro n k
Leo CEO Zubeda anaropoka tu
Tuko na Al Masry wapige kwenye mshono
Haa Utopolo Iligusa Kumi Na Sita Ikapigwa OutMwakarobo forever
Msijari wenetu tutarudi tu kwny ligi ya GSM tuje tuwaonyeshe ubaya ubwelaHapo ndo mwisho
Tulizeni vinyeo wazeeUbwela wa konyo