Kwa muda sasa nimeona pesa ikitumika na ujanja ujanja katika usajili. Nimekuwa nikiona watu ( wajinga ) wakishauri kuwa Simba isajili nchi za magharibi na kusini eti ndio sehemu zenye wachezaji wazuri.Na hawaoni umuhimu wa kuweka nguvu nchi kama Congo.
Nasikitika kuwaambia kwamba msipotumia akili,ni vigumu kupata wachezaji bora.
Kwanza nakubaliana kuwa magharibi kuna vipaji vingi,lakini nchi nyingi za magharibi,wana connection nzuri na ulaya.Hakuna mchezaji mzuri unaweza kumpata akiwa na umri sahihi kutoka magharibi.Lazima atatafuta timu ulaya hata kama ni daraja la tatu.
Kwa akili ya kawaida tu,kuanzia Kigoma,Burundi hadi Congo na nchi ya Zambia inayopakana na Congo,kuna watu wanazaliwa na vipaji vya sanaa mbali mbali ikiwepo mpira.
Yanga wamekuwa na akili na wanajua nchi ya Congo imekuwa ikiwabeba sana kwa wachezaji wa bei nafuu na wanaojituma sana.
Uliza anayewajua Waha.Ni watu wanaojituma sana katika jambo wanalolifanya.Sio watu wa kukata tamaa,ni watu wenye maono.Ndivyo ilivyo kwa makabila ya ukanda wote nilioutaja.
Leo angalia hata kwenye muziki tu.Ukiacha wakongo,hata akina Diamond na Alikiba ni watu wa asili ya magharibi.
Simba itumie akili,usomi na tafiti kuweza kuamua mambo kama ya usajili.Angalieni mlivyokuwa na watu kama Mafisango.
Angalieni wachezaji wa Congo waliopita yanga na kukiwasha sana.
Pia msiweke mataifa mengi mengi ili kuruhusu iwe rahisi kwa kocha kuelewana na wachezaji.Mkileta kocha mreno,Basi sajilini wachezaji wengi wa Angola na Mozambique. Sio kama ilivyo sana mnaenda kwa kubahatisha tu