Simba tuna nuksi gani na robo final sisi [emoji24][emoji24]

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Nikikumbuka tulijaribu kwenda caf federection cup nako pia tukaishia hapa hapa

Naomba mniache nilie tu msinibembeleze
[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787]

Hata angekuwa wewe kweli tayari jina la kocha ni robotinho
Lakini matumaini uliweka tu
 
Wekeni fedha kwenye timu, Hakuna timu ya mchongo inayopenya kwenda nusu, mnaweza fikiria labda mnakosea kidogo/Hamna bahati Hapana, Michongo Ina maeneoyake.
 
Nikikumbuka tulijaribu kwenda caf federection cup nako pia tukaishia hapa hapa

Naomba mniache nilie tu msinibembeleze
[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787]

Hata angekuwa wewe kweli tayari jina la kocha ni robotinho
Lakini matumaini uliweka tu
Huna akili,kama unataka kufa kufa pia.
Timu ngapi hazijafika hata hapo?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
1. Kuna USHENZI Huwa anafanya Mo wa kupoteza wachezaji wazuri kama KAKOLANYA IMENIUMA MNO.

2. UBAHIRI WA MWAMEDI UNATUPONZA PIA NA SCAUTING YA WACHEZAJI.
KULETA WACHEZAJI WENYE WUALITY NDOGO.

3. UZEMBE MKUBWA KWENYE USAJILI WA WACHEZAJI.

I. Okrah.

II. Sawadogo.

III. Banda ( NO 9)

IV. Sackho.. atupishe.

V. Kanute atafutiwe mbadala.

VI. Ottara.

SIMBA INA UHITAJI WA WACHEZAJI SABA WA KIMATAIFA NDIO IVUKE HAPO. HELA WANAZO HADI HAPO WAMEPATA BILIONI 1 NA MILIONI 500.
SUPER CUP WANA BILIONI 4.
TUSAJILI WACHEZAJI TUEPUKE UBAHILI
 
Huwezi ilaumu Simba kwa mpira waliocheza jana kuamkia leo. Tuache unafiki hatukuwa tunacheza na Yanga pale.
 
Tusajili ndio ila Simba imeonyesha kiwango kizuri sana. Na impact yake itaonekana. Mechi ya kujilaumu ni mechi ya Raja. Ile ilikuwa aibu.
 
Nikikumbuka tulijaribu kwenda caf federection cup nako pia tukaishia hapa hapa

Naomba mniache nilie tu msinibembeleze
[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787]

Hata angekuwa wewe kweli tayari jina la kocha ni robotinho
Lakini matumaini uliweka tu
hapana sio nuksi ni jinsi mlivyojitayarisha tu,mwakani jipangeni upya msajili wachezaji wenye uwezo
 
Nikikumbuka tulijaribu kwenda caf federection cup nako pia tukaishia hapa hapa

Naomba mniache nilie tu msinibembeleze
[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787]

Hata angekuwa wewe kweli tayari jina la kocha ni robotinho
Lakini matumaini uliweka tu
RoboNtinyo [emoji28][emoji24][emoji24]
 
Anzisheni Team yenu
 
Nikikumbuka tulijaribu kwenda caf federection cup nako pia tukaishia hapa hapa

Naomba mniache nilie tu msinibembeleze
[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787]

Hata angekuwa wewe kweli tayari jina la kocha ni robotinho
Lakini matumaini uliweka tu

Kwani Simba walikuomba uwe Shabiki? Anzisha team yako; ukachukue Kombe la Dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…