Unaongea ki - Uto FCKubebwa ubebwe ww simba na kubweka mnabweka nyie wenyewe, team km Liverpool imebeba ubingwa kwa point different kubwa na bado wanaamin msimu ujao watakuwa na changamoto kubwa lakin ww uliye pewa ubingwa kwa mbeleko unaanza kuvimba kichwa... Duuuuu nyie wanyama amkeni mjue kuwa bila mbeleko za kukariwa na warasi karia nyie ni paka tuu
Hawa ndiyo wekundu wa msimbaziView attachment 1530806
Hahaa ww usipate tabu iache isomeke kama ilivyo WEKUNDU WA MSIMBAZIHawa na manyani mbona mnajitukana
Kwann unapata tabu na picha ya wekundu wa msimbazi au simba mzee alie nyonyoka manyoya au huoni huo wekundu hapo nyumaHao ni utopolo ,manyani ya jagwani
HahaahahaMtu kwenye squad yake wachezaji ni kina Ngassa(aliyekuwa peak 2010) afu simba akichukua ubingwa analia.
Simba anabebwa........
Angewabemenda 4?