Simba tunaomba CAF watupangie Mamelodi robo fainali

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns.

Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40.

Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba kidomo domo cha hao Yanga wa bondeni waliochangamka ni Simba Sc.

Mafanikio ya mnyama Simba ni pamoja na kuwaziba vidomo domo Al Ahly, berkane, kaizer, vita, asec, zamalek, nkana, orlando, vipers waliomtoa mazembe, el merreikh, al hilal na kibonde horoya ambaye ntamfunga zaidi ya goli 7 estadio lupaso!

Mods naombeni mnisaidie kuwatag caf najua wapo humu JF.
20230312_224811.jpg
 
We kolo huna timu ya kucheza na mamelodi sunidowoni...
 
Niwaombe Caf, chonde chonde watupangie Masandawana au Mamelodi sundowns.

Naona wanajitapa sana huko mitandaoni na mbaya zaidi wanasema wakikutana na sisi watatugeuza kama kitoto cha simba mbele ya kundi la fisi 40.

Kwa heshima ya mpira wa Tanzania na afrika kwa sasa timu pekee inayoweza kuziba kidomo domo cha hao Yanga wa bondeni waliochangamka ni Simba Sc.

Mafanikio ya mnyama Simba ni pamoja na kuwaziba vidomo domo Al Ahly, berkane, kaizer, vita, asec, zamalek, nkana, orlando, vipers waliomtoa mazembe, el merreikh, al hilal na kibonde horoya ambaye ntamfunga zaidi ya goli 7 estadio lupaso!

Mods naombeni mnisaidie kuwatag caf najua wapo humu JF.View attachment 2548041
Hawa hawa akima Mkude, mzamiru, bocco haya tukutane kwa madiba
 
Ebwana watatubonda kamaa ngoma labda ile simba ya Miquisson kule chama huku Tshabalala kule Ontango Mido ndo hatunaga sasa ukaweke SAWADOGO, mido Saido winga beki Inonga anavyopenda kukaba ovyo kama Casemiro lazima apate Umeme aisee narudia tena weka Ushabiki pembeni WATATUPIGA KAMA NGOMAA
 
Uliangalia ile mechi na al Ahly mkuu? Mamelodi weupe kwa simba.
 
Mkuu kuwa na subira. Tusivuke daraja kabla hatujalifikia. Wakati wa mada za robo fainali bado ila kwa sasa KILA LA HERI SIMBA.
 
Back
Top Bottom