Simba tunashinda Morocco

Simba tunashinda Morocco

Wydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea robo tayari, Ila Morocco punda afe mzigo ufike.

NIONGEZE VOLUME AU WOTE MMESIKIA VIZURI!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ilo jambo liko wazi kabsa
GAm1Wg4XoAALmrZ.jpeg
 
Wydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea robo tayari, Ila Morocco punda afe mzigo ufike.

NIONGEZE VOLUME AU WOTE MMESIKIA VIZURI!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umeongea,tuna uhifazi uzi wako tutaurudia.
 
Wydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea robo tayari, Ila Morocco punda afe mzigo ufike.

NIONGEZE VOLUME AU WOTE MMESIKIA VIZURI!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira sio maigizo Wala kupiga ramli, leta sababu za kiufundi na kimbinu zitakazokufanya upate matokeo, kuongea tu kwakuwa umeshiba kande za njugu mawe aifanyi timu yako iwe Bora ndani ya siku moja Wala mbili, ukikosea kwenye kipindi Cha usajili unakuwa umejimaliza na Simba ilishajimaliza kipindi icho ivyo mategemeo Kama Aya ya ndoto za alinacha yanabaki kwa mashabiki wasioulewa mpira wa miguu unaochezwa hadharani!
 
We uliyefanikiwa kwenye usajili msimamo wa kundi lenu upo mkiani ,shubammit!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom