Ilo jambo liko wazi kabsaWydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea robo tayari, Ila Morocco punda afe mzigo ufike.
NIONGEZE VOLUME AU WOTE MMESIKIA VIZURI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umeongea,tuna uhifazi uzi wako tutaurudia.Wydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea robo tayari, Ila Morocco punda afe mzigo ufike.
NIONGEZE VOLUME AU WOTE MMESIKIA VIZURI!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,nye mtaufukua tukidondosha point ila sahauHapo umeongea,tuna uhifazi uzi wako tutaurudia.
Hakuna kuweweseka naongea kibabeAcha kuweweseka, we jiandae tu kwa mwakani
Tunamchinja mazima ugenini kwa kagoli kamojaWydad Kufa hakukwepeki
Tupo humu na JF huwaga haisahau,kuna muhasibu siku hizi kakimbia thread zake.
Kakimbia au ban zimemwandamaTupo humu na JF huwaga haisahau,kuna muhasibu siku hizi kakimbia thread zake.
Naunga mkono hojaKila La Heri Simba Sports Club
Ndiyo Pekee Inayoyaweza Hayo Mashindano Kwa Timu Za Tanzania
Mpira sio maigizo Wala kupiga ramli, leta sababu za kiufundi na kimbinu zitakazokufanya upate matokeo, kuongea tu kwakuwa umeshiba kande za njugu mawe aifanyi timu yako iwe Bora ndani ya siku moja Wala mbili, ukikosea kwenye kipindi Cha usajili unakuwa umejimaliza na Simba ilishajimaliza kipindi icho ivyo mategemeo Kama Aya ya ndoto za alinacha yanabaki kwa mashabiki wasioulewa mpira wa miguu unaochezwa hadharani!Wydad ndo njia ya Simba kuelekea robo, Wydad wanapoint 6 zetu tutampiga nje ndani. Asec tutashinda kwao au draw, na Jwaneng tutampiga kwa Mkapa kipigo cha mbwa mwizi, halafu mahesabu ya kuelekea robo tayari, Ila Morocco punda afe mzigo ufike.
NIONGEZE VOLUME AU WOTE MMESIKIA VIZURI!
Sent using Jamii Forums mobile app
We uliyefanikiwa kwenye usajili msimamo wa kundi lenu upo mkiani ,shubammit!Mpira sio maigizo Wala kupiga ramli, leta sababu za kiufundi na kimbinu zitakazokufanya upate matokeo, kuongea tu kwakuwa umeshiba kande za njugu mawe aifanyi timu yako iwe Bora ndani ya siku moja Wala mbili, ukikosea kwenye kipindi Cha usajili unakuwa umejimaliza na Simba ilishajimaliza kipindi icho ivyo mategemeo Kama Aya ya ndoto za alinacha yanabaki kwa mashabiki wasioulewa mpira wa miguu unaochezwa hadharani!
Wa kwanza Abdallah KibadenTuma salamu kwa watu watano[emoji2772]