Simba itapata matokeo Kwa urahisi siku ambayo Benchika ataacha kumuanzisha Saidoo Ntibanzokinza.
Tukija mechi ya Leo
Kukosekana Kwa Sadio Kanoute na kutokumuanzisha Kapombe kumeigharimu sana timu, by the way Simba inaonesha improvement kadri siku zinavyozidi kwenda mbele.