G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Kweli kabisa mkuuUnachosema ni sahihi kabisa.
Kipindi Moses Phiri amepona halafu Simba ikawa onasuasua kumpa nafasi, niliwahi kusema Simba inazingua sana na itaenda kuathiri upambanaji wa wachezaji wengine katika timu. Wachezaji wakiona kumbe tukiwa hii timu tukaumia, tunawekwa pembeni, wataanza kucheza kwa tahadhari kubwa. Tuliona jinsi upambanaji wa wachezaji wa Simba ulivyopungua sana kwa misimu miwili, watu hawajiulizi kwa kina sababu. Wakaja kuzingua tena kwa Kramo na sasa wanaenda kufanya kwa Ayoub.
Ndiyo maana wapambanaji kama kina Kibu wameona wakimbie kabla hayajawakuta na wao.
Hawana subra...itakuwa team ya Namna gan kama mtu akiumia anatolewa kabisa..Waaminiwe waliopo mpaka atakaporudiTumeshindwa kuwa na Subira! Yaani kipa namba moja anaumia tu kdgo, unaingia sokoni kutafuta kipa mwingine, stori kama hii ilitutokea mwaka jana, alipopona Manula, tukajikuta tuna makipa watano!Sasa ni muda wa makipa waliobaki kuonesha umakini wao, siyo kusajili kipa mwingine, kwa nini hatutaki kuwapa nafasi makipa tulionao? Nawakilisha...